Wakili maarufu mbaroni kwa rushwa

Mkuu tumepewa ruhusa ya kufanya lolote tupendalo Tz. Kama kubaka ruksa, kuiba ndo usisema na tukitaka twanyonga tu! Kesho tunakutana club na kugonga bilauli! Natamani nijilaani! Sina hamu na macho yangu. Kichwa ndo kimebaki kama zezeta vile!:confused::rolleyes:

Thubutuuuu..........!!!!
Kwani we Zombe hadi ufanye hivyo?!
Watakufunga wewe na familia yako yote itaonekana ina hatia!!!
Tanzania wanalindwa wakubwa tuuuuuuuu!
Zaidi tujipe pole tu watu wa hali ya chini,kwa sababu ukipindua gari miaka 30 jela kabla hata ya uchunguzi,Ukigongana na bajaji kifungo cha maisha,ukiuwa mtu ndio kabisa utanyongwa wewe mpaka jicho litoke....!!!
Tuikubali tu hali yetu tusijilinganishe na wakina ZOMBE!
 
Back
Top Bottom