Wakili dhidi ya Lissu

Wakili dhidi ya Lissu

Fuqua kuku wewe
Sawa mfuga kuku, nitakurundikia makaburi yako mfululizo kuanzania kesho au keshokutwa. Nawaomba na wengine wanisaidie kuyakufukua makaburi yako tena mengine bado mapwa mfuga kuku wewe...!!
 
Fuqua kuku wewe
Kesho mbali. Kaburi rasharasha hili hapa...!!! Na ulipewa LIKE na Pascal Mayalla

1755454706005.png
 
Sawa mfuga kuku, nitakurundikia makaburi yako mfululizo kuanzania kesho au keshokutwa. Nawaomba na wengine wanisaidie kuyakufukua makaburi yako tena mengine bado mapwa mfuga kuku wewe...!!
Utakuta maiti inanukia harufu nzuri harufu ya peponi
 
Mtume (S.A.W) alisema:

(Hadithi sahihi - Bukhari na Muslim)

🔑 Maana yake:

Si sahihi kutumia hoja za ujanja, udanganyifu, au ufasaha wa maneno kumkandamiza au kumnyang’anya haki mtu mwingine.

Mwanasheria au mtetezi wa kesi anapaswa aseme ukweli na kusimama kwa haki, si kutumia uhodari wake kuhalalisha dhulma.

Mafunzo ya Kiislamu kwa Wakili au Mtetezi

1 Aseme ukweli hata kama ni mchungu.

2. Asitumie hoja za hila kuhalalisha batili.

3. Awe na nia ya kutetea haki, si kushinda kesi kwa gharama ya kumdhulumu mwingine.

HUU NDIO UISLAM
Mtume Muhamamadi asingekubali kabisa Shahidi wa kujificha.
 
uko sahihi kwamba

Jaji alisema mubashara isiwepo wakati sikweli, lezake lile jinga jobmrema linasikika eti lisu anajifanya star sana huyo ...kweli fatilieni Ile video mdomoni mwajob alichotamka
 
Mtume (S.A.W) alisema:

(Hadithi sahihi - Bukhari na Muslim)

🔑 Maana yake:

Si sahihi kutumia hoja za ujanja, udanganyifu, au ufasaha wa maneno kumkandamiza au kumnyang’anya haki mtu mwingine.

Mwanasheria au mtetezi wa kesi anapaswa aseme ukweli na kusimama kwa haki, si kutumia uhodari wake kuhalalisha dhulma.

Mafunzo ya Kiislamu kwa Wakili au Mtetezi

1 Aseme ukweli hata kama ni mchungu.

2. Asitumie hoja za hila kuhalalisha batili.

3. Awe na nia ya kutetea haki, si kushinda kesi kwa gharama ya kumdhulumu mwingine.

HUU NDIO UISLAM
Sio kila anayejiita muislam (na/au kuvaa burqa 24/7) ni muislam. Wengine ni Muslims in name only!
 
Back
Top Bottom