Mtume (S.A.W) alisema:
🔑 Maana yake:
Si sahihi kutumia hoja za ujanja, udanganyifu, au ufasaha wa maneno kumkandamiza au kumnyang’anya haki mtu mwingine.
Mwanasheria au mtetezi wa kesi anapaswa aseme ukweli na kusimama kwa haki, si kutumia uhodari wake kuhalalisha dhulma.
Mafunzo ya Kiislamu kwa Wakili au Mtetezi
1 Aseme ukweli hata kama ni mchungu.
2. Asitumie hoja za hila kuhalalisha batili.
3. Awe na nia ya kutetea haki, si kushinda kesi kwa gharama ya kumdhulumu mwingine.
HUU NDIO UISLAM
(Hadithi sahihi - Bukhari na Muslim)"Nyinyi huleta mashauri yenu kwangu. Huenda mmoja wenu akawa na hoja yenye nguvu kuliko mwingine, nikamhukumia kwa mujibu wa nilivyosikia. Yeyote nitakayempa kitu cha haki ya ndugu yake kwa hukumu yangu, basi asikichukue, kwa kuwa hakika namkatajia kipande cha moto wa Jahannam."