gongolamboto
JF-Expert Member
- Feb 21, 2011
- 1,185
- 570
CHADEMA VIJANA WANATUMIKA TU.
Alisema Getrude Ndibalema - Naibu Katibu Mkuu Tanzania Bara BAVICHA .
Akaongeza...
"Chama kimefeli kuwalea vijana kufikia malengo yao ya Kisiasa."- Ndibalema
"Kinawaacha wakue wenyewe bila misingi na malezi ya kimaadili kama watoto wa Kuku wa kienyeji"- Ndibalema
Kimsingi sijui vyama vingine CHADEMA hakina demokrasia kabisaaa..."-Ndibalema
" Nazuiwa kuchangamana na CCM mfano Anna Makinda , Ummy mwalimu kupiga nao picha kama viongozi wanawake wenzangu ikawa nongwa mi siwezi ishi kwa ubaguzi na kazi zangu za kiuana habari zitafeli kwani hata kuhoji mwana CCM kama Mtulia nayo ilikuwa kesi"- Ndibalema .
"Watazungumza upuuzi mwingi ila mi nimeamua kubaki mwanachama wa kawaida kuwapisha, majungu sitaki wakiona vipi waamue ila Chama kama chama nakipenda tatizo ni wapuuzi fulani fulani katika uongozi."
"Nikweli niliwahi pigwa na Katibu Mkuu BAVICHA kwa tamaa zake za mapenzi nikampeleka mahakamani.
Badae viongozi wakanisihi nikamsamehe japo wao wameendelea kunizonga, waniache nifanye kazi zangu ila wathubutu kunifatilia na kusema uongo dhidi yangu nitafunguka ukweli mtupu wa madudu yaliyopo"- Ndibalema
"Itambulike CHADEMA sikuwa nalipwa kwa miaka nane hata katika nafasi hii hadi Mwenyekiti , hakuna mshahara kwa viongozi wa BAVICHA Taifa ni kazi za Kujitolea tu labda vijiposho vya kazi maalum, na Katiba inasema ili ugombee lazima uwe na kazi yako au chanzo kinachokupatia kipato halali hivyo nimekisaidia chama na tumesaidiana, tumefaana sina deni" - Ndibalema
"Nimeamua kufanya mambo yangu binafsi kwa maslahi ya Taifa langu."- Ndibalema.
Chanzo: Star tv Tuongee Asubuhi - Live talk show.