Wakihama mnasema wamenunuliwa

Wakihama mnasema wamenunuliwa

gongolamboto

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2011
Posts
1,185
Reaction score
570
CHADEMA VIJANA WANATUMIKA TU.

Alisema Getrude Ndibalema - Naibu Katibu Mkuu Tanzania Bara BAVICHA .

Akaongeza...

"Chama kimefeli kuwalea vijana kufikia malengo yao ya Kisiasa."- Ndibalema

"Kinawaacha wakue wenyewe bila misingi na malezi ya kimaadili kama watoto wa Kuku wa kienyeji"- Ndibalema

Kimsingi sijui vyama vingine CHADEMA hakina demokrasia kabisaaa..."-Ndibalema

" Nazuiwa kuchangamana na CCM mfano Anna Makinda , Ummy mwalimu kupiga nao picha kama viongozi wanawake wenzangu ikawa nongwa mi siwezi ishi kwa ubaguzi na kazi zangu za kiuana habari zitafeli kwani hata kuhoji mwana CCM kama Mtulia nayo ilikuwa kesi"- Ndibalema .

"Watazungumza upuuzi mwingi ila mi nimeamua kubaki mwanachama wa kawaida kuwapisha, majungu sitaki wakiona vipi waamue ila Chama kama chama nakipenda tatizo ni wapuuzi fulani fulani katika uongozi."

"Nikweli niliwahi pigwa na Katibu Mkuu BAVICHA kwa tamaa zake za mapenzi nikampeleka mahakamani.

Badae viongozi wakanisihi nikamsamehe japo wao wameendelea kunizonga, waniache nifanye kazi zangu ila wathubutu kunifatilia na kusema uongo dhidi yangu nitafunguka ukweli mtupu wa madudu yaliyopo"- Ndibalema

"Itambulike CHADEMA sikuwa nalipwa kwa miaka nane hata katika nafasi hii hadi Mwenyekiti , hakuna mshahara kwa viongozi wa BAVICHA Taifa ni kazi za Kujitolea tu labda vijiposho vya kazi maalum, na Katiba inasema ili ugombee lazima uwe na kazi yako au chanzo kinachokupatia kipato halali hivyo nimekisaidia chama na tumesaidiana, tumefaana sina deni" - Ndibalema

"Nimeamua kufanya mambo yangu binafsi kwa maslahi ya Taifa langu."- Ndibalema.

Chanzo: Star tv Tuongee Asubuhi - Live talk show.
 
Wanawake wa ofisini wanastahmili sana poleni ndio changamoto za kazi
 
Vijana tuachaneni na siasa hizi,kwa wengine ni ajira zao wanatutumia kama ngazi za mafanikio yao kisha hawana habari nawe umri wasogea

Muhimu tuumize kichwa ktk utafutaji na ubunifu wa mambo yatayokua na maslah kwetu,familia zetu,jamii zinazotuzunguka na taifa kwa ujumla
 
Ahame tu. kwanza ameshakuwa makapi.
Ninyi wafuasi wa CHADEMA ninawafananisha na wafuasi wa Donald Trump maana mnaamini kila kinachotoka kinywani mwa viongozi wenu. Hata hamuulizi wala kuhoja kama kuna ukweli ama siyo. Wakisema huyu ni mwizi mnashangilia na kumshambulia mwizi wakisema huyu siyo mwizi kasingiziwa na CCM mnaanza kumuita Kamanda halafu mnadiriki kuwacheka wenzenu wa kijani wakati bora hata hao wenzenu wa kijani kuliko ninyi.
 
Nimemwona huyu Dada Gertrude Ndibalema jana Startv katika Kipindi cha tuongee asubuhi akitiririka na akiserereka akiwa na Mtangazaji mmoja ambaye huwa akiongea anapenda mno ' Kutumbua / Kutoa ' mimacho yake. Nilimtazama kwa jicho la Ki Great and Critical Thinker kwa kuzingatia Vigezo vyangu vyote na niliyoyagundua juu yake naomba tu niishie hapa tafadhali.
 
Ccm ingekuwa na wanachama milioni 12 polepole asingehangaika kununua
 
Kununua hawa watu maskini ni dhambi kubwa mno!!!
 
Naona likarai lilitoboka kwenye ubora wako.

Bila karai nyumba haijengeki. Jiwe walilokataa waashi limekuwa jiwe kuu la pembeni.

Wana Lumumba wenzangu let us be realistic and entertain critical thinking...mimi buku saba sitaki, na nimekataa kumnyenyekea mwanadamu...iko siku buku saba zitagoma kutoka, na ndipo mtakapoanza kutusi na kulaumu kuliko hawa mnaowaona makarai siku ya leo. Muda ni hakimu mwema.
 
Hii hali ni zaidi kule Lumumba ambapo vijana ni sawa na misukuleee
Chizi na kichaa wote ni wendawazimu hivyo sioni unafuu wa wana cdm hao ndiyo misukule wakubwa wanawezaje kudeki barabara apite mtu aliyetangazwa miaka 7 kuwa fisadi?
 
CHADEMA VIJANA WANATUMIKA TU.

Alisema Getrude Ndibalema - Naibu Katibu Mkuu Tanzania Bara BAVICHA .

Akaongeza...

"Chama kimefeli kuwalea vijana kufikia malengo yao ya Kisiasa."- Ndibalema

"Kinawaacha wakue wenyewe bila misingi na malezi ya kimaadili kama watoto wa Kuku wa kienyeji"- Ndibalema

Kimsingi sijui vyama vingine CHADEMA hakina demokrasia kabisaaa..."-Ndibalema

" Nazuiwa kuchangamana na CCM mfano Anna Makinda , Ummy mwalimu kupiga nao picha kama viongozi wanawake wenzangu ikawa nongwa mi siwezi ishi kwa ubaguzi na kazi zangu za kiuana habari zitafeli kwani hata kuhoji mwana CCM kama Mtulia nayo ilikuwa kesi"- Ndibalema .

"Watazungumza upuuzi mwingi ila mi nimeamua kubaki mwanachama wa kawaida kuwapisha, majungu sitaki wakiona vipi waamue ila Chama kama chama nakipenda tatizo ni wapuuzi fulani fulani katika uongozi."

"Nikweli niliwahi pigwa na Katibu Mkuu BAVICHA kwa tamaa zake za mapenzi nikampeleka mahakamani.

Badae viongozi wakanisihi nikamsamehe japo wao wameendelea kunizonga, waniache nifanye kazi zangu ila wathubutu kunifatilia na kusema uongo dhidi yangu nitafunguka ukweli mtupu wa madudu yaliyopo"- Ndibalema

"Itambulike CHADEMA sikuwa nalipwa kwa miaka nane hata katika nafasi hii hadi Mwenyekiti , hakuna mshahara kwa viongozi wa BAVICHA Taifa ni kazi za Kujitolea tu labda vijiposho vya kazi maalum, na Katiba inasema ili ugombee lazima uwe na kazi yako au chanzo kinachokupatia kipato halali hivyo nimekisaidia chama na tumesaidiana, tumefaana sina deni" - Ndibalema

"Nimeamua kufanya mambo yangu binafsi kwa maslahi ya Taifa langu."- Ndibalema.

Chanzo: Star tv Tuongee Asubuhi - Live talk show.
Na wakinunuliwa mnasema wamehama!
 
Ni kweli wananunuliwa na ata uyu aende zake kapi la dengu hili.. kwani mbona wabunge wa viti maalum hawaendi kuunga mkono juhudi, jibu ni kwamba kuama kwake hakuwezi hakuwezi kupelekea uchaguzi ivyo ccm kumpa nafasi ila chafema tutateua mwingine kuziba nafasi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CHADEMA VIJANA WANATUMIKA TU.

Alisema Getrude Ndibalema - Naibu Katibu Mkuu Tanzania Bara BAVICHA .

Akaongeza...

"Chama kimefeli kuwalea vijana kufikia malengo yao ya Kisiasa."- Ndibalema

"Kinawaacha wakue wenyewe bila misingi na malezi ya kimaadili kama watoto wa Kuku wa kienyeji"- Ndibalema

Kimsingi sijui vyama vingine CHADEMA hakina demokrasia kabisaaa..."-Ndibalema

" Nazuiwa kuchangamana na CCM mfano Anna Makinda , Ummy mwalimu kupiga nao picha kama viongozi wanawake wenzangu ikawa nongwa mi siwezi ishi kwa ubaguzi na kazi zangu za kiuana habari zitafeli kwani hata kuhoji mwana CCM kama Mtulia nayo ilikuwa kesi"- Ndibalema .

"Watazungumza upuuzi mwingi ila mi nimeamua kubaki mwanachama wa kawaida kuwapisha, majungu sitaki wakiona vipi waamue ila Chama kama chama nakipenda tatizo ni wapuuzi fulani fulani katika uongozi."

"Nikweli niliwahi pigwa na Katibu Mkuu BAVICHA kwa tamaa zake za mapenzi nikampeleka mahakamani.

Badae viongozi wakanisihi nikamsamehe japo wao wameendelea kunizonga, waniache nifanye kazi zangu ila wathubutu kunifatilia na kusema uongo dhidi yangu nitafunguka ukweli mtupu wa madudu yaliyopo"- Ndibalema

"Itambulike CHADEMA sikuwa nalipwa kwa miaka nane hata katika nafasi hii hadi Mwenyekiti , hakuna mshahara kwa viongozi wa BAVICHA Taifa ni kazi za Kujitolea tu labda vijiposho vya kazi maalum, na Katiba inasema ili ugombee lazima uwe na kazi yako au chanzo kinachokupatia kipato halali hivyo nimekisaidia chama na tumesaidiana, tumefaana sina deni" - Ndibalema

"Nimeamua kufanya mambo yangu binafsi kwa maslahi ya Taifa langu."- Ndibalema.

Chanzo: Star tv Tuongee Asubuhi - Live talk show.
Watanzania sio wajinga ,biashara inajulikana ,bei inajulika wananunuliwa hata huyo pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom