Wakienda kisimani....!!!

Hata mi namshangaa na kuchanganyekiwa ni muda gani wa kwenda kusali msikitini au kanisani au ndo kila kitu hapo kwa hapo na pia naona hata toeleti haiko mbali sana na hiyo ofisi ya photo
 
Nakumbuka enz hizo Mshana ulikuwa shupavu wa Kumsubiri nanii yule..... Yuleeee pale kwenye kona hasa akiwa anaenda kuchota maji!!!!
Hahahahahaaaa
 
Nakumbuka enz hizo Mshana ulikuwa shupavu wa Kumsubiri nanii yule..... Yuleeee pale kwenye kona hasa akiwa anaenda kuchota maji!!!!
Hahahahahaaaa

Hahahahaaaaa Kalu20 unamzungumzia Tina wa kigogo yule aliyekuja kuolewa na mpemba?
 
Last edited by a moderator:
huu si muda wa maji mbona mnauliza kulala?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…