Wakenya wenye akili waendelea kumshangaa Uhuru Kenyatta

joto la jiwe

JF-Expert Member
Sep 4, 2017
26,117
46,613
Hivi ndivyo Wakenya wenye kujitambua wanavyoendelea kushangazwa na uongozi dhahifu wa Uhuru Kenyatta anavyoshindwa kurekebisha uchumi wa nchi unaoendelea kusambaratika.

 
Vipi huko kwenu hali ikoje?
Ukipata muda msikilize Roma kwenye ngoma yake mpya 'ANAITWA ROMA'
 
Hata Rais wao hajui nini mbaya na kenya 😂😂😂
 
Back
Top Bottom