LOSEJMASAI
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 332
- 856
Why Kenya always do this? Why? is it a disorder or what?
So aliyenyong'wa nani hapo?watanzania tujifunze kushindana kimaendeleo kwa vitendo .... wakenya wanapiga kazi ..... myonge myongeni lakini haki yake apewe
Uongo.wanaujua hivo ni vilaza wa ulaya na marekani.Wengi wao hao jamaa hawajui hata kua africa ni bara na sio nchi. Pengine yeye anajua yupo Africa wala hajui nchi gani. Mipango yote ya safari ana watu wakushughurilikia
Halafu akirudi huko kwao atatupia kwenye tweet yake kwamba "I was in Africa" neon Kenya wala hutaliona, ndio utakapo jua wanachofundishwa wao ni tofauti na sisi.
Jaribu km ww ndiyo unamuambia will smith sasa.Nenda kwenye acc ya Will ya Insta mwambie atangaze kua hapo alipo ni Tanzania
Tanzania Tourist Board ndo wamelala walipaswa kuitangaza (kama mtalii Smith mwenyewe akiridhia) sasa TTB wao wanatafuta trips za Per diem ndefu, ITB, Germany.watanzania tujifunze kushindana kimaendeleo kwa vitendo .... wakenya wanapiga kazi ..... myonge myongeni lakini haki yake apewe