donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,047
- 21,523
Rapper kutoka pande za states mwenye hitsong ya 'Panda' hakuamini kilichomtokea juzi kwenye stage wakati anapiga show baada ya 'makonki' wa Kenya kusepa na raba zake na soksi nakumuacha mchizi akiwa amefura kwa hasira. Shkamoo wakenya....