Wakenya wanakula Sana mirungi (Miraa)

Mr. MTUI

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
8,130
8,330
Nipo hapa kijiweni wapo Kama ishirini hivi wote wanamifuko au vifurushi vya mirungi wanatafuna Kama mbuzi, huku wakishushia na pombe kali na soda. Najiuliza hivi vitu haviwaharibu akili kweli. Inakuaje mtu unatoka Hadi misuli ya kichwa kutafuna vitu vya ajabu ajabu...
 
Hi kitu nilikula nikiwa mtoto ila mpaka Leo Bado nakumbuka utamu wake.
 
Huko kwao imehalalishwa mkuu
 
Tena ngoja nipitie Sokota nikachukue zaruba yangu 3 na hari ya hewa ya Dar Leo inafaa sana kusaga.hakuna kitu tamu km Shamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…