tang'ana
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 11,878
- 15,458
Wakenya wamejazana pale Himo utadhani ndiyo Kisumu,mbaya zaidi hawa jamaa hawana vibali vya kuishi hapa nchini. Wengine wanamiliki mpaka ardhi ndani ya nchi yetu.
Maofisa wa uhamiaji wanachukua rushwa tu wao hawajali uwepo wa hawa wakenya ndani ya nchi yetu pasipokufuata taratibu.
Raisi magufuli ebu mtumbue kamanda wa uhamiaji wa mkoa wa Kilimanjaro maana kashindwa kazi.