wakenya wafurika Arusha kwa X-mass!

Ukitembelea Lodges na vigest vya hadhi Flani vyote vimejaa hadi Zile zilizopo pembezoni ka ngaramtoni, kijenge na Njiro ASILIMIA Kubwa ni wachaga ambao wengi wao wako Kenya na pia Wakenya wengi sana wanakuja kula Bata Arusha.... Kama Jana saa 11 join mirungi yote imeisha mjini YAANI kumechangamka kikuku
 
wachaga wanarudi nyumbani kuchinja kioro na punga za x-mass, karibu old moshi unywe kisusio
 
Wanafuata wanaume wa ki tz maana tunapiga kazi sana...toka juzi naoakatana na mkenya tu.idumu EAC
 
Back
Top Bottom