hahaaaa!! mweeeh mzee maina weeh, nnakojoa nilale leoMbona unaanza vizuri kama mtu wa dini mwenye heshima zake halafu unajishusha hadhi kwa kuegemea upande wa Tanzania na kuponda kenya.
Ikuingie na ufahamu kwamba waanzilishi wa Jamii forum walipoweka sehemu ya kuweka taarifa za Kenya, walimaanisha tuweke huku habari za kenya. Hivyo kila tukiweka chochote kuhusu kenya mnajibu kwa matusi halafu mnategemea tucheke cheke. Tutajibu kwa dharau hadi mkome.
Bado mpo nyuma yetu na muache kuwaza kenya kwa kila hatua yenu. Sisi tunafanya yetu kwa ajili ya nchi yetu.
Wakenya wengi tulìingia JF tukitegemea ni eneo la watu kujadili mambo ya nchi za EAC. Wengi tulishangaa kukuta huku ndiko mumejificha watu wa wivu na chuki za kiajabu.
Mbona unaanza vizuri kama mtu wa dini mwenye heshima zake halafu unajishusha hadhi kwa kuegemea upande wa Tanzania na kuponda kenya.
Ikuingie na ufahamu kwamba waanzilishi wa Jamii forum walipoweka sehemu ya kuweka taarifa za Kenya, walimaanisha tuweke huku habari za kenya. Hivyo kila tukiweka chochote kuhusu kenya mnajibu kwa matusi halafu mnategemea tucheke cheke. Tutajibu kwa dharau hadi mkome.
Bado mpo nyuma yetu na muache kuwaza kenya kwa kila hatua yenu. Sisi tunafanya yetu kwa ajili ya nchi yetu.
Wakenya wengi tulìingia JF tukitegemea ni eneo la watu kujadili mambo ya nchi za EAC. Wengi tulishangaa kukuta huku ndiko mumejificha watu wa wivu na chuki za kiajabu.
bagamoyo Wakenya tunafahamu kila kitu kinaoendelea endelea nje ya nchi yetu. Sisi ndio wawekezaji wakubwa kutokea nchi za EAC ndani ya mataifa yote majirani.
Utatutukuta Ethiopia, Sudan Kusini, Uganda, Tanzania, Rwanda, Burundi, DRC n.k.
Kama ujuavyo mwekezaji anapiga hesabu nyingi sana za mahali anakokwenda. Hivyo sisi hatuhitaji kuelimishwa kuhusu hayo reli na mengine ulioyataja maana tayari tupo huko ndani kwa ndani na tukivumilia kila aina ya chuki zenu.
Ikiwa tupo Mogadishu, Somalia tunafanya biashara huku tunakwepa mabomu na risasi sembuse chuki zenu ndogo ndogo.
Ni vigumu kumpiga Mkenya chini. Tumechezea mabomu, ukame n.k. Lakini tunaibuka washindi kwa neema za Mungu. Yaani ukimpiga mkenya chini ananyanyuka na kurudia pale pale hadi utachoka mwenyewe. Tumepitia majanga na bado tupo tunatanua.
MK254,
Wewe una chembechembe za ''utanzania'' hata unavyoweza kuweka sentensi safi za Kiswahili.
Ila walio wengi nchini Kenya na hii kona ya Jamiiforums-Kenya wameonesha kukosa ufahamu wa nchi zingine na ''ubishi'' mwingi (wa-twitter) kuwa wanajua kama ulivyotabanaisha katika comment yako.
Mfano, tujiulize kwanini Uganda ilikuwa ''tayari'' bomba la mafuta kupitia Kenya na ghafla wakaamua lipite Tanzania sababu zake ni zaidi ya unavyojua kama usalama n.k bali ni kuwa kila nchi ina ''tabia'' zake katika kufikia maamuzi na mara nyingi hutofautiana na sababu za ktk mabuku ya vyuoni a.k.a books yaani lazima uelewe ''culture'' ya potential customer wako na siyo aggressive push ya kukamilisha dili la kibiashara haraka haraka.
Tutaendelea kutoa elimu elimu na kufahamiana zaidi katika kubadilishana mawazo na michango hapa JamiiForums kwa manufaa ya wana-Afrika Mashariki.