Wakenya na Magufuli wetu!

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,583
Reaction score
27,838
Wakenya wakimkejeli Raisi wao Uhuru Kenyata kwamba badala ya kufanya kazi kama Magufuli wetu yeye anahepa kufanya kazi!






​
 

Attachments

  • 151207084246_uhurukenyahepakazi.jpg
    25.2 KB · Views: 1,671
kwa hakika wakenya wanatutamani sana watz ss hv, mm mwenyewe niliwahi kujuta kua mtanzania ila kwa sasa najivunia sana kua mtz!
 
MK254 Uhuru Kenyatta amesha safiri safari nyingine lakin bado hawezi kuvunja record ya Vasco
 
Last edited by a moderator:
watanzania tuacheni propaganda tufanyeni kazi natuikumbushe serikali kenya wako far better than us
leo hii tunaona maguli ni better kuliko kibaki wakati bado kero ni nyingi
mfano elmu bado tuko nyuma na vitu vingi
 
"Hapa Kazi tu" kwa hili tunaweza kukodisha SOFTWARE ktk mitandao kadha hapa Duniani !!
 
watanzania tuacheni propaganda tufanyeni kazi natuikumbushe serikali kenya wako far better than us
leo hii tunaona maguli ni better kuliko kibaki wakati bado kero ni nyingi
mfano elmu bado tuko nyuma na vitu vingi



Uwe unafuatilia taarifa za majirani zako


Mjadala Kenya kuhusu ziara nyingi za rais


7 Disemba 2015


Baada ya Rais Uhuru Kenyatta kuwahakikishia Wakenya kujitolea kwake kupunguza matumizi ya pesa katika serikali, maswali yameibuka kuhusu ziara zake nyingi za nje ya nchi zinazogharimu mlipa ushuru mamilioni ya pesa.
Ofisi ya Rais imetetea ziara za rais ikisema ni muhimu kwa uwekezaji na maslahi ya Wakenya.




Debate president Kenyatta.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…