Wakenya na jicho la husda kwa Tanzania

MAFIE JR

Senior Member
Feb 20, 2016
117
92
Wadau,

Mmeona vile ambavyo hawa ndugu zetu wamekuwa wakitumia fahari zetu kujipatia umaarufu duniani.

1.Mlima Kilimanjaro wanadai upo kwao na naskia hata kwenye kujitangaza wanadai upo kwao kitu ambacho kinawafanya wapate watalii wengi

2.Pemba Island kuna kipindi ilisikika wakidai ipo kwao.

3. Tanzanite madini wanadaiwa inatoka Kenya.

4. Olduvai George nayo wamesema iko kwao.

5. Msanii wetu Diamond Platinum juzi juzi nimeona kwenye mitandao ya kijamii mtu kaandika eti a rapa from Kenya.

6. Mara nyingi nimeona hata vijana wa Kikenya wakijaribu kulinganisha uwezo wa JWTZ na KDF yao hii sio husda?

Je hakuna namna ya kuwadhibiti hawa watu? Je hakuna namna nyingine nyie wakenya munaweza kupata umaarufu au ndo mpaka mutumie mgongo wetu wa TZ?

Magufuli tusaidie kwenye hili nakumbuka hata mtafaruku wa watalii ulotokea ambapo wakenya hawakutaka sisi tufike kwao.

Tanzania natural resources and our prides should remain for Tanzanians jitangazeni kivingine wakubwa
 
Ni kweli wa kenya wana husda sana , lakin na sisi wa Tanzania hatujitangazi ipasavyo ndio wa Kenya wanatumia fursa
 
Mbona ni jambo la kawaida?Mtamchosha kiongozi wetu,hapo sasa JPM afanyeje?akawapige au?
 
Hata hivyo ndivyo walivyo wakenyatta.Juzi Rais Independent alisemaje akiwa kwa Netanyahu?Complete the sentense utapata jibu.
 
Wakenya ni wezi according to their own President wala hata usiogope kusema....wamekuwa wakituibia utalii wetu miaka mingi kweli
 
Hio olduvai gorge ingekuwa inahmishika wakenya wangekuwa Wameshaiiba..
Hawa jamaa wezi sana
 
Mtakumbuka zile nyimbo za zamani
'Asha'. Tabora Jazz
'Vigelegele'. Western Jazz

Soukus Stars walizikopi na kuziita 'Nairobi Night' wakenya waliwadanganya Ni zao
 
Back
Top Bottom