kedekede
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 5,337
- 7,757
Wewe unaish wapi?Kuna watu wameshia form two wamefeli mtihani ule wa kidato cha pili je wamesoma?mwamko wa elimu ulikuja juzi juzi nandio maana walimu wengi wa hizi shule za english medium ni wakenya,pia kuna jamii ya wafugaji muamko ni 0 wa shule labda sasa hivi ambapo tumetangaziwa shule bure mpaka kidato cha 4.Wakenya wengi wanakwenda shule kuliko sisi watanzania? How could you say that? Kila mtanzania ana nafasi kubwa ya kupata elimu ya msingi, au shule zipi unasema wewe?