Wakenya mna nini

Ujinga unawasumbua kuna mtu hajui Ngorongoro iko wapi kama sio Pombe
 
Wamepigia sana hela kwa,mtindo huo. Sisi tumechelewa kujitangaza. Hivi vivutio vyote wenyewe walishaanza kutangaza zamani. Na bado asilimia kubwa ya watalii (wazungu) mpaka sasa wanajua serengeti na mlima kilimanjaro viko kenya. Mpaka sasa wengi wanafikia kenya then kenya ndio wanafanya ujanja ujanja wa kulipia kiduchu ili kuwaingiza humo mbugani. Hapo kumbuka ile kufikia kenya tayari wanakuwa wameacha hela nyingi za kigeni kenya. Kuanzia hotel kenya,hizo gari za kuwatembeza watalii zinakuwa zimekodiwa kenya badala ya kwetu. Wametuzidi ujanja siku nyingi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Issue hapa ni wizara ya utalii kuweka hivi. Mtalii atakayetoka au kuja kupitia Kenya apigwe kodi kubwa afu akija moja kwa moja Tanzania [emoji1241] kodi inakuwa kidogo ili ajue kumbe ni vema kuanzia Bongo land.

Sasa shida iliyopo sasa watalii wakipita Kenya ni cheap kuliko wakipita Tanzania. Kwenye competitive market Tanzania tuchangamke tupunguze bei zetu ziwe cheap tupate watalii wengi lakini pia wanaokuja kupitia Kenya walipe hela nyingi ila watakaokuja moja kwa moja Tanzania bei iwe ni fursa chini zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…