swali nalojiuliza kila siku,huu mungano mwisho wake utakuwaje?
mbona hatukupiga kura hii ndoa ya wakenya na watanzania,bora tuungane na wazambia tunafanana vitu vingi
hasa utashi,mikenya mijitu ya ovyo sana,yanatuona sisi watanzania kama wajinga,
na nyie mliolazimisha hii ndoa na nyie ni mazuzu wa ovyoo!!!

Shhhhhhhh dada Rose....William Malecela atakusikia!
Wakuu wangu kwa hili mnanishangaza sana nikitazama hoja zenu dhidi ya EAC na hususan Wakenya.
Nnashangaa kwa sababu hoja hizi hizi ambazo nyinyi mnazozitumia dhidi ya Wakenya, ndio hoja zetu dhidi ya huu "uvamizi" wenu mnaouita "muungano".
Hata sisi pia tunahisi kuwa nyinyi wa kuungana nao ni hao mliowataja pamoja na Kenya ambao ndi size yenu.
Iweje EAC iwe hamuitaki lakini huu "muungano" feki muushupalie tena kwa nguvu za kijeshi?
Kama nyinyi hamuitaki EAC kwa sababu hizo, na sisi halkadhalika.
Kama nyinyi hamuitaki EAC kwa sababu ya Wakenya, sisi hatuutaki huu mnaouita "muungano" kwa sababu yenu.
Kwanini double standards?
Kwanini mtung'ang'anie kwa vifaru na majeshi yenu ya uvamizi?
Nilikua napita tu Wakuu.
View attachment 31869
Mimi naona nyinyi ndio mpo sana huku kulingasnisha na sisi tulivyo huko.Wakuu wangu kwa hili mnanishangaza sana nikitazama hoja zenu dhidi ya EAC na hususan Wakenya.
Nnashangaa kwa sababu hoja hizi hizi ambazo nyinyi mnazozitumia dhidi ya Wakenya, ndio hoja zetu dhidi ya huu "uvamizi" wenu mnaouita "muungano".
Hata sisi pia tunahisi kuwa nyinyi wa kuungana nao ni hao mliowataja pamoja na Kenya ambao ndi size yenu.
Iweje EAC iwe hamuitaki lakini huu "muungano" feki muushupalie tena kwa nguvu za kijeshi?
Kama nyinyi hamuitaki EAC kwa sababu hizo, na sisi halkadhalika.
Kama nyinyi hamuitaki EAC kwa sababu ya Wakenya, sisi hatuutaki huu mnaouita "muungano" kwa sababu yenu.
Kwanini double standards?
Kwanini mtung'ang'anie kwa vifaru na majeshi yenu ya uvamizi?
Nilikua napita tu Wakuu.
View attachment 31869
halHapa Arusha hawa jamaa wananunua mashamba na wengine wamejenga majumba na tunawafahamu. Kule kwao sisi waTZ huwa tunaishi kwa wasiwasi sana na intimidation ni kila mahali. Wametufunika sana hapa EAC kwa kazi na most tanzanians wamekata tamaa ya ku- applu kazi EAC
Nadhani wazambi tungefai zaidi lakini sio kenya, tuungane za uganda,rwanda burundi na drc
Wakuu wangu kwa hili mnanishangaza sana nikitazama hoja zenu dhidi ya EAC na hususan Wakenya.
Nnashangaa kwa sababu hoja hizi hizi ambazo nyinyi mnazozitumia dhidi ya Wakenya, ndio hoja zetu dhidi ya huu "uvamizi" wenu mnaouita "muungano".
Hata sisi pia tunahisi kuwa nyinyi wa kuungana nao ni hao mliowataja pamoja na Kenya ambao ndi size yenu.
Iweje EAC iwe hamuitaki lakini huu "muungano" feki muushupalie tena kwa nguvu za kijeshi?
Kama nyinyi hamuitaki EAC kwa sababu hizo, na sisi halkadhalika.
Kama nyinyi hamuitaki EAC kwa sababu ya Wakenya, sisi hatuutaki huu mnaouita "muungano" kwa sababu yenu.
Kwanini double standards?
Kwanini mtung'ang'anie kwa vifaru na majeshi yenu ya uvamizi?
Nilikua napita tu Wakuu.
View attachment 31869
watanzania ebu angalieni wakenya wameamua kupeleka uwanja wa ndege karibu na mlima kilimanjaro kwa upande wa kwenya kweli tutapata wageni wa kutua uwanja wa ndege kia, tatizo nini? Au nikuwa na viongozi wasiokuwa na mtizamo? Wenzetu wanaamua kuuteka mlima wetu uwe wao kwa upande wao
Wildebeast migration from the Masai Mara in Kenya to Serengeti Park in Tanzania. [PICTURE: FILE/STANDARD] |
The issue is not as simple as it looks. Is it acceptable that one country freely exploits the natural resources of another? Mt. Kilimanjaro and The Serengeti National Park are part of the natural wealth of Tanzania. Are we expected to let Kenyans freely use these for their own benefit? I don't think so.
If tourists want to see the Serengeti or want to climb Mt. Kilimanjaro, then they should do so from Tanzania, and not from Kenya. Entry permits into the Kilimanjaro and Serengeti National Parks ought to require possession of itineraries that include at least three nights in Tanzania.
Like Kenya, and indeed like all other countries, we want our tourists to use our airports, our drivers, our hotels, our tour guides and all the other associated products. We don't spend our days planning on how to exploit the tourist attractions of Kenya; we leave that to the Kenyans. Why don't they do the same? Why are they always seeking to make a buck out of our Masapilas, our Mountain, and our animals?
Are we to accept exploitation simply because it comes from fellow East Africans? We might not want to bomb the airport that Kenya builds at Holili, but we must surely not allow people to walk from there and into Tanzania. That proposed airport might be geographically close to Mt. Kilimanjaro, but it is in our national interest to make sure that in practice it is further from us than any other part of Kenya.
<br />I salute you! Ingawa kiasi tumesinziaaaa sana.