Mwanzoni mwa miaka ya1980
timu ya Nchini Kenya ilikuwa na
Mchezaji wa Taifa anaeitwa
OTIENO MBO*, Siku moja akawa
Majeruhi, Kesho yake Magazeti
yote KENYA yakaandika "WAKENYA
KUCHEZA BILA MBO*"
Kocha na Rais wa KFF wakaamuru
vichwa vya habari
vibadilishwe,haya vikabadilishwa
vikawa hivi "WAKENYA KUCHEZA,
MBO* NJE"
Kesho yake Uwanja mzima ulijaa
Madada na Mashoga kibao...