Practically hakuna tofauti kati ya Wakenya na Generation Z.Nilikuwa sijakupata nilifikiri unawasema Gen z
Because hao ni true heroes for Kenya
Kuchanganya na kizungu kidogo basi na wewe unajionaa😎😎😎...Because hao ni true heroes for Kenya
Hao wanaotumia kiingereza ambacho unaita ni lugha ya kigeni,wana tofauti gani na wewe ambaye huwa unafanyia mazoezi JF kwa kukitumia kuandika?Acha unafiki wewe muha!Au unawaonea wivu?Wakenya hawana lolote wanacho kifanya ni MAIGIZO tu.
Ukiona mbongo anasali kwa kiingereza basi jua hana shida huyo.
Ukiona mtu anaelezea matatizo yake kwa lugha ya kigeni wakati ana option ya kuyaelezea kwa lugha yake mwenyewe basi jua hana matatizo huyo.
Muandamanaji anasema
" we are tired. This government is bad. We are hungry. We don't have food " blah blah blah.
And you are taking him seriously?
Angekuwa ana shida kweli angezitaja kwa lugha mama yake na sio lugha ya kigeni.
Upo na matatizo ya ukweli ukweli unapata wapi muda wa kufanya madoido ya kutumia lugha ya kigeni?
Saikolojia ya lugha inayo muhusu mwafrika inasema mwafrika huwaga anataja matatizo yake kwa lugha mama yake na kamwe hawezi kuyataja kwa lugha ya kigeni ambayo huwa mwafrika anaiona superior language.
Jambo zuri atalitaja kwa kiingereza ila jambo baya ndo atalitaja kwa kiswahili.
Mfano Slay queen aliyeibiwa iPhone, hata siku moja hawezi kusema " MY iPhone has been stolen"
Atasema " YESTERDAY I WENT TO BOUGHT AN IPHONE AT MLIMANI CITY, ILA NILIPOPITA MANZESE IKAIBIWA"
So acheni kuwaambia wabongo waige huo utoto wa Wakenya.
Moderator naomba msiunganishe Uzi huu na nyuzi nyingine
we kaa na mada zako za umalaya ulivozoweshwa .hapa umejishusha zaidi ya kinyesiWakenya hawana lolote wanacho kifanya ni MAIGIZO tu.
Ukiona mbongo anasali kwa kiingereza basi jua hana shida huyo.
Ukiona mtu anaelezea matatizo yake kwa lugha ya kigeni wakati ana option ya kuyaelezea kwa lugha yake mwenyewe basi jua hana matatizo huyo.
Muandamanaji anasema
" we are tired. This government is bad. We are hungry. We don't have food " blah blah blah.
And you are taking him seriously?
Angekuwa ana shida kweli angezitaja kwa lugha mama yake na sio lugha ya kigeni.
Upo na matatizo ya ukweli ukweli unapata wapi muda wa kufanya madoido ya kutumia lugha ya kigeni?
Saikolojia ya lugha inayo muhusu mwafrika inasema mwafrika huwaga anataja matatizo yake kwa lugha mama yake na kamwe hawezi kuyataja kwa lugha ya kigeni ambayo huwa mwafrika anaiona superior language.
Jambo zuri atalitaja kwa kiingereza ila jambo baya ndo atalitaja kwa kiswahili.
Mfano Slay queen aliyeibiwa iPhone, hata siku moja hawezi kusema " MY iPhone has been stolen"
Atasema " YESTERDAY I WENT TO BOUGHT AN IPHONE AT MLIMANI CITY, ILA NILIPOPITA MANZESE IKAIBIWA"
So acheni kuwaambia wabongo waige huo utoto wa Wakenya.
Moderator naomba msiunganishe Uzi huu na nyuzi nyingine
Kuandamana kwa nchi nzima ni maigizo?Wakenya hawana lolote wanacho kifanya ni MAIGIZO tu.

Wakalee wajukuu au wakafie maporini?Walee wajukuu ili wawaambukize umburula wao?Wanaopinga kinachoendelea Kenya ni hawa vibaka wa huku, ifike muda vikongwe waelewe vijana ndio wanaishi sasa, ndio walipa kodi wazuri sasa, ndio kundi la watu wenye nguvu kazi.
Naomba haya mapinduzi yapite East Africa yote, hawa vikongwe wakalee wajukuu, hakuna kitu wanafanya...
Yaani Wakenya/wananchi wayapate maumivu na kutoa muitikio hasi wewe uwasingizie wazungu?Akili za wapi hizo?Za CCM?Mzungu akitaka kuwagawa waafrika anakuja na upuuzi kama gen Z
Km wameanza Uganda House basi linalofuata ni lile la Bongo na lilitambulishwa na February Marope duuuh Jamaa wapunguze basi
Unaelewa kwanza maana ya Gen z?Mzungu akitaka kuwagawa waafrika anakuja na upuuzi kama gen Z
Sahihi mkuu, wapate na BP wafe tu, wameshakula sana nchi, ni muda sasa wa mabadiliko.Wakalee wajukuu au wakafie maporini?Walee wajukuu ili wawaambikize umburula wao?