Umeandika nini?Wajinga ndio huaminishana hivi hivi kwamba hiki kinaponesha,kile kinatibu,kojolea hapo utakuwa sawa. Ni Sayansi basic sana mkuu,mpaka sasa hatuna dawa za kuua Virus,miili yetu hupambana na virus yenyewe,hata usingepaka chochote ungepona tu.
inawasha machoni ili uoshe macho endapo itayagusaHabari zenu wana jamvi,
Kila mmoja wenu anajua kuwa unapoosha kichwa ama uso kwa sabuni, mapovu, huwasha machoni,
je kwa zama hizi bado tuna ubunifu 'dhaifu' kiasi hicho?
Juzi juzi nimeugua macho, ule ugonjwa uliovuma sana, na kwa kuwa kipindi cha virusi vya korona tuliambiwa kuwa virus huondolewa kwa sabuni ya unga pia, mie nilichanganya maji na sabuni ya unga ya 'MOO'.
Nimeitumia mpaka nimepona, ila ile sabuni, japo ni ya kufulia HAIWASHI MACHONI KABISA, whetever kwamba inaweza kuwa na side infect ama la, ila haikuniwasha na imenitibu, sasa nimepata swali, kwa nini hawa watengeneza sabuni bado wanatengeneza sabuni zinazowasha?
Je, ule muwasho una ulazima gani? Ama wamechelewa ki-teknolojia?
kufua ni kiasha nguo na kuoga ni kufua mwili hakuna tofauti hapo, hoja ni aina za sabuniinawasha machoni ili uoshe macho endapo itayagusa
isipowasha basi sabuni itainhia machoni freely na hauwazi
kuna chemicals nyingi si salama sana kwenye sehemu za muhimu kama jicho.
jicho ni extension ya ubongo moja kwa moja, yaani limekua connected directly kutoka kwenye ubongo kwahiyo ni sehemu ya ubongo.
hiyo sabuni ya unga ya kufulia labda haiwashi kwasababu wanajua ni ngumu kufika machoni.
na ni kwanini uoshe macho na sabuni tena ya kufulia, unataka kuyafua ?
Hahahaa unaogeaje sabuni ya kufulia mkuu?ila ile sabuni, japo ni ya kufulia
Kuna laundry soap (kufulia) na bath soap (kuogea)kufua ni kuosha nguo kuonga ni kuosha mwili, sijajua vyema utofauti wa sabuni hizo kama zina side infect ila zinafanya vizuri tu kwa maana ya
kemikali zinazotumika ni tofauti kabisa, sabuni za kufulia zimetengenezwa special kuondoa aina Fulani ya uchafu na madoa kwenye surface mbali mbali, wewe unaogea kwasababu unaona ina mapovu.kufua ni kiasha nguo na kuoga ni kufua mwili hakuna tofauti hapo, hoja ni aina za sabuni
hasa hiyo sabuni ya unga uliyoongelea ni detergent ambayo ni specific kuondoa madoa sugu kwenye surfaces mbalimbalikufua ni kiasha nguo na kuoga ni kufua mwili hakuna tofauti hapo, hoja ni aina za sabuni