mpare wa milimani JF-Expert Member Joined Aug 27, 2016 Posts 293 Reaction score 302 Sep 22, 2017 #41 Ndoa zinahitaji maombi sana,dunia imeharibika sana,wanawake mlioolewa waombeeni waume zenu ulinzi Wa mungu kila watokapo asubuhi,mengine bila mungu hawawezi
Ndoa zinahitaji maombi sana,dunia imeharibika sana,wanawake mlioolewa waombeeni waume zenu ulinzi Wa mungu kila watokapo asubuhi,mengine bila mungu hawawezi