Wake zetu tusaidieni

Wake zetu tusaidieni

Hata kwetu sis hivyo hivyo, wanaume mazuri, sixpack,pesa, ukarimu,upole, kujali n.k so usivutie kamba kwako tu
 
Siamini unadhani wanawake ndo hawakutanagi na wanaume wenye mvuto na sifa nzuri zaidi kuliko waume zao watch your words

Unakutana na Kidume kina
Six Packs
Handsome Rangi ya Mtume
Mpole balaa
Mfuko si haba
Romantic balaa
Hata ukiguna tu unaambiwa pole
Unaachaje sasa kuacha kutaka kuwa karibu na mtu kama huyo

Acha hizo kaka kama ni vishawishi wote ndo tunavipata usialie upande mmoja.

Cha msingi ni kuridhika na yule uliyenaye na kujitahidi kutendeana vizuri wote kwa pamoja ndoa yenu idumu,vinginevyo hata mke wako ana macho na moyo wa kutamani pia kama ambavyo alikutamani wewe na kukubali kuolewa na wewe.
Exactly
 
Jamani kuishi mjini na ukiwa na uwezo wa at least maisha ya level ya Kati ni jaribu tosha ktk kulinda ndoa zetu.

Leo niwaambie dada zangu mlioolewa,
sisi waume zenu tunapitia mitihani mikubwa kukwepa vishawishi vya akina dada warembo wa mjini.

Kila eneo tunalotembelea unakutana na mdada mrembo kuliko wake zetu kwa kila idara mfano:

Figure/shape
Elimu
Ukarimu
Ucheshi
Huruma
Hata pesa...

Ukweli ni kuwa tukiamua kujiondoa ufahamu tu, hesabuni maumivu tu kuibiwa ni lazima.

Kuna nyakati Nimeamua kujipiga ban nisiperuzi baadhi ya akaunti za Instagram ilimradi tu kuepuka mawazo ya kuchepuka coz jamani dunia ina wasichana warembo hadi unahisi sijui wametengenezwa

Ombi kwa wake zetu ili kutuokoa na vishawishi hivi plz jitahidini kutupa sababu kwa nini tusifuate wanawake wengine na tutulie na nyinyi tu.

La sivyo msipojihimalisha kutucare hesabuni maumivu tu ya kuchepuka.

Dunia ina vingi vitamu vya kuliwa.
piga njee 2 io ndo habari ya mjini
 
Kuwa makini na akili iliyoko kichwani kwako kwa sasa vinginevyo utachepuka tu
 
Hiv mwenye uwezekano wa kuibiwa ni mwanamke au mwanaume
Statistics inaonyesha waume ni wachache sana kwa idadi yao ukilinganisha ilivo wake, kwa mantic hiyo wanawake/mwanamke anapaswa kua makini zaidi kulinda mahusiiano yake kuliko ilivo kwa mwanamume. Ukiwa mzembe kidogo tu! Mumeo ataibiwa ...
 
Back
Top Bottom