Wake zetu Shida ni nini?

Kama ni mke wako kaa nae chini myamalize muulize shida nini kwa upole sana ila kama ni mpenzi tu na hauna malengo yoyote piga chini endelea kutafta hela.
Asante kwa ushauri, lakini siwezi nikaa nae chini labda mwanamke mwingine.
 
Unataka tuwe wanaume kwa kuvumilia huu ujinga? Version ya zamani sio hii ya sasa. Kuna matukio ya ajabu yanatokea ,lakini ukiwa nje ya mfumo unaweza ukasema maneno yote, sasa ingia ndani ujionee.
Oky boss.
 
Kwahiyo umempiga?
 
Kwahiyo umempiga mkuuu 🥱 🥱 🫵 😃
 
[emoji1787][emoji1787] Okay, sawasawa [emoji855]
Sikupenda kufikia hatua hiyo, lakini kila mtu ana kiwango cha uvumilivu.
Nilitafuta njia ya amani kwa muda mrefu, lakini dharau, matusi na kutojali vilivuka mipaka.
Hata hivyo, najua kutumia nguvu siyo suluhisho bora , lakini wakati mwingine mtu akichokozwa kupita kiasi, hutokea.
Sitetei kosa, lakini pia siwezi kuruhusu nidhalilishwe kila siku kama sina thamani.
 
utaweza kuvumilia kuishi peke yako au utatafuta mke mwingine? Mind kuwa wanawake hawafanani baadhi ya tabia usije ukapata mwingine mbaya zaidi kuliko huyo. Kama vipi mbembeleze myamalize muendelee kuishi
Ushauri ni mwepesi sana ila ukivaa viatu vya bwana mkubwa ndo utajua shida Iko wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…