Wake zetu Shida ni nini?

Ukiona hayo ima:
1.kashapata jamaa pembeni
2.karithi kwa mama yaani mamake ndo kichwa.
ukikomaa haina haja ya kupiga acha adharau kisha acha aende kwao
Mwanangu nje kuna wanawake wengi mnoo.
Just baada ya kchapo kakimbilia kumpigia mama yake! Huu ushauri na uzingatia. Kesho anaenda kwao kwaajili ya break ndefu.
 
Unadhani wazee wetu walikua na wanawake walio tofati na hawa tulio nao?

Wanaume embu tuwe wanaume aisee!
 
Unadhani wazee wetu walikua na wanawake walio tofati na hawa tulio nao?

Wanaume embu tuwe wanaume aisee!
Unataka tuwe wanaume kwa kuvumilia huu ujinga? Version ya zamani sio hii ya sasa. Kuna matukio ya ajabu yanatokea ,lakini ukiwa nje ya mfumo unaweza ukasema maneno yote, sasa ingia ndani ujionee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…