Wake zetu mnakwama wapi....?

Wake zetu mnakwama wapi....?

umerudi kushinda nyumbani mkeo alikwambia anataka urudi kushinda nyumbani?


wakati unazurura na wanawake wengine unadhani nani alikuwa anamliwaza?

yaani usidhani anakupanda kichwani la hasha.....anakukera usepe awe huru kufanya yake....

kiufupi unambana bana.....
[emoji38][emoji38][emoji38] nàcheka Kama mazuri vile ila mkuu Nahisi hii situation umeipitia na una experience nayo nipe mbinu uli survive vipi Hadi kuweka mambo sawa....?
 
Shida wanaume wengi hatujui kubembeleza hatuji kuwa romantic sisi ni wazee wa kuforce ndiyo maana wake zetu wanakua mbogo, bembelezo kwangu limenipa matumaini mapya
 
Tulio single.. tuna-enjoy sana life. Poleni mliooa na kufungwa pingu MBAYA KABISA za maisha. Asilimia kubwa siku izi watu wamekosea kuoa au kuolewa. Ndoa ni stress tupu
...single si kwa mpito tu....au umeamua uwe single forever?
 
Back
Top Bottom