Wake zetu mnakwama wapi....?

Wake zetu mnakwama wapi....?

Sawa mzee ngoja tufupishe maneno maana unaonekana huna kaz za kufanya.
mwalimu gani king'ang'anizi kila ana lifestyle yake usilazimishe tufanane kwani sijakutukana ila unaonekana kuniandama
Sijakuandama muheshimiwa. Unatakiwa uandike vizuri.Hizo "x" zinakuharibia.Nisamehe kama nimekuharibia siku.Potezea.
 
Sijakuandama muheshimiwa.Unatakiwa uandike vizuri.Hizo "x" zinakuharibia.Nisamehe kama nimekuharibia siku.Potezea.
Duh siku yangu bado iko vizuri ndo kwanza naangalia afcon nimekusoma akili yako nimeamua kufunika kombe mwanaharamu apite la sivyo tungebishana hadi kesho
 
Umerudi kushinda nyumbani mkeo alikwambia anataka urudi kushinda nyumbani?


Wakati unazurura na wanawake wengine unadhani nani alikuwa anamliwaza?

Yaani usidhani anakupanda kichwani la hasha.....anakukera usepe awe huru kufanya yake....

Kiufupi unambana bana.....
 
usikute mtu ana tafakari zake mambo yake mixa madeni unaenda kumpigia mikelele kelele ya ki-hadija kopa [emoji2]
Am the guy ambaye najua unajua Cha kufanya am not a supervisor kwamba nikuekekeze kila kitu na pia ni mtu ambaye kazi yangu ni kujenga na kumaliza na kununua vitu vya ndani Basi ,ila hivyo vitu vikaaje, visafishwe lini naamini ni kazi ya mwanamke kuijari nyumba yake na wanae.
 
Back
Top Bottom