Huyo ndo anaewatongoza na hawamkatai so ili kuendelea kupumbaza wengine ndo hivyo.. 😜Hilo bango mbona kabeba mwanaume 😁 au ni halima mdee huyu?😎
Kuna mlevi kila siku anamkandia mke wake kwa vile siyo mweupe
Sio mlevi banaa ni shaitwaniKuna mlevi kila siku anamkandia mke wake kwa vile siyo mweupe