Damas peter
Member
- Apr 27, 2013
- 15
- 2
Ni kwanini wake za watu ni wepesi xana kushawishiwa kimapenzi? Pia hutoka xana nje ya ndoa hii inatia hasira xana je wadogo zetu kwa njia hz wataoa na kuolewa? Mh! Inatisha lakini ni lazima kuna sababu juu ya haya inaweza ikawa ni nn?
kitu cha mwisho kabisa kukiwazia nikiwa na matatizo katika ndoa ni kutoka nje ya ndoa......Umegeneralize sana, ni wachache wenye tabia kama hizi, sema tatizo ni kuwa ubaya huvuma zaidi kuliko wema ...! Sababu mojawapo ya sababu nyingi ni migogoro ya ndani ya familia ambapo wanandoa wanashindwa kukaa pamoja na kuzungumza matatizo yao. Baadhi ya sababu nyingine ni kama tamaa, kushindwa kutimiziana haki ya ndoa, kukosa upendo, kushindwa kusaidiana, kuthaminiana nk
Ni kwanini wake za watu ni wepesi xana kushawishiwa kimapenzi? Pia hutoka xana nje ya ndoa hii inatia hasira xana je wadogo zetu kwa njia hz wataoa na kuolewa? Mh! Inatisha lakini ni lazima kuna sababu juu ya haya inaweza ikawa ni nn?
kitu cha mwisho kabisa kukiwazia nikiwa na matatizo katika ndoa ni kutoka nje ya ndoa......
hapo yaani naona kuwa najikomoa mwenyewe.....
halafu hivi ukiwa na hasira unaweza kuwaza mapenzi? tena na mtu wa nje?
unaweza ukasema hivyo....ha ha ha hujawahi pata migogoro mumie.
Sio kweli wapo wake wanaojiheshimu sana na uwezi kuwaeleza upuuzi ukaenda nao sawa, inategemea huyo mke we mwenyewe ulimpata vipi na ulikutana naye wapi, kama ni vodafasta lazima umegewe.
unaweza ukasema hivyo....
lakini itanisaidia nini kutoka nje ninapokuwa nina migogoro? huko nje nita-enjoy?
mimi naamini kwenye kufurahia mapenzi..... yaani nikiamua kutoka ni kwamba naamini huko naenda kupata raha na siyo naenda huko kwa sababu nyumbani kuna migogoro.
kwanza hata akili haitakuwa kwenye hayo mapenzi, ni chuki tu na kukomoa, sasa ya shida gani hayo?
walahi siku hizi umezibuka!unaweza ukasema hivyo....
lakini itanisaidia nini kutoka nje ninapokuwa nina migogoro? huko nje nita-enjoy?
mimi naamini kwenye kufurahia mapenzi..... yaani nikiamua kutoka ni kwamba naamini huko naenda kupata raha na siyo naenda huko kwa sababu nyumbani kuna migogoro.
kwanza hata akili haitakuwa kwenye hayo mapenzi, ni chuki tu na kukomoa, sasa ya shida gani hayo?
my dear ni kweli ni ngumu kutoka nyumba ikiwa na tension.
so kinachofanyika ni kwamba mtu hutulia kwa muda na kutafakari kwamba anachohangaikia ni nini hasa, then akiri ikishatulia anaona migogoro ni kama kilema tu kwa hiyo mtu atatoka nje bila hata hasira wala nini.
tena baada ya kutoka nje, hata migogoro inapungua ndani maana hamna tena maugomvi, kelele wala wivu wa kijinga.
mume aliye makini anaweza kugundua mapema.
tongoza mke wa mtu mkubaliane kabisa then reseach yako ianzie hapo mkuu ukiuliza huku hamna jibu sahihi .si wako rahisi na wewe kafanye reseachNi kwanini wake za watu ni wepesi xana kushawishiwa kimapenzi? Pia hutoka xana nje ya ndoa hii inatia hasira xana je wadogo zetu kwa njia hz wataoa na kuolewa? Mh! Inatisha lakini ni lazima kuna sababu juu ya haya inaweza ikawa ni nn?
Ni kwanini wake za watu ni wepesi xana kushawishiwa kimapenzi? Pia hutoka xana nje ya ndoa hii inatia hasira xana je wadogo zetu kwa njia hz wataoa na kuolewa? Mh! Inatisha lakini ni lazima kuna sababu juu ya haya inaweza ikawa ni nn?
mdogo wangu mimi kwenye hizi anga si unanijua lakini?walahi siku hizi umezibuka!
umeniachaje hoi sasa na hili jibu!
kwa hiyo unafanya kwa kulipiza kisasi?mie nilidate na hubby for 6 years mpaka kuja kuoana.
baada ya ndoa akaanza kutoka tena kwa kunionyeshea live kabisa bila kificho wala woga.
basi na mie nikaona niingie ngomani nicheze, kwahiyo kwa sasa kila mtu anacheza ngoma kivyake tu, ila cha ajabu baada ya mie kuanza kuonja nje, naona mwenzangu kasi kapunguza yani ni kama vile kachoka ngoma za nje sasa anapenda acheze ndani wakati mie ndo kwanzaaaaaaa nimemkinai.
kwa hiyo ndo hivyo bro, nadhani nimekujibu