Wake za watu kuliwa ovyo, wa kulaumiwa ni wanaume kwa ushawishi

Wale vichaa ni pona yetu sisi domo zege, kwanza hawaombi vocha wala mizinga ya salon.
na wenyewe huponea kwa hao wauza mkaa maana haambiwi subili nilale kidogo utaniamsha asubuhi kabla sijaenda kazini au baadaye nitawahi kurudi leo, madeni yakiwachosha basi bodaboda ndiyo usiseme.
 
Huko kujiamini kwako nimekukubali Mr six pack..
Ila Ukionywa usikie, ukiambiwa njia upitayo SI nzuri...usikie... Ukioneshwa na madhara ya njia upitayo...uelewe..

Kushupaza SHINGO..... Sio kuzuri.
Alikuwapo kijana wa kuitwa Arafat Ngumi jiwe pamoja na msanii na boss wake Dully Sykes. Ila cha ajabu ndugu ngumi jiwe aliishilia kupasuliwa Mayai kunako😂😂😂

Mwache jamaa ajisifu maana kitakapoumana mwokozi atakuwa Mungu baba tu😂
 
.....Bali Wazinzi na waasherati sehemu yao ni kwenye Lile ziwa la moto 🤔🤔🤔

Nyie endeleeni tu kutafuna wake za watu na nyie wanawake wasalitini waume zenu...Ipo siku
Uzuri wa maandiko asilimia 90 ya wanaopenda kuyatumia ndio vinara wa maasia na.matendo yamchukizayo Allah.
 
Hili swala lianze kuulizwa wanaume kwanza, kwa kuwa wengi hamjali wake zenu, hamuwatatuli mahitaji yao na kutowapa muda wa pamoja na pia kuwajali wake zenu ukifanya hivi vitu 90% mwanamke atakuheshimu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanamke unayeweza kumfanyia hivyo ni kama Mama Samia (Madam Prezi) sio hizi Ngulupi zinazojua kuchonga ngenga mpaka ndani hapakaliki, kila kitu anataka kiwe arguments.
 
Mwanamke unayeweza kumfanyia hivyo ni kama Mama Samia (Madam Prezi) sio hizi Ngulupi zinazojua kuchonga ngenga mpaka ndani hapakaliki, kila kitu anataka kiwe arguments.
Fanya hayo uone kama mkeo atakuwa Ngulupi! Usihukumu kabla hujamfanyia mazuri, wanaume wengi hujisahau siku akija shituka mke naye kawa sugu na mchezo umeishia hapo, asimwambie mtu mwanamke mwenye tabia njema ukimfanyia mabaya yakamfika shingoni kumrudisha ni kazi sana

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Factor nyingine ukiachana na mambo yote wadau walio yasema ni kuchokaana na mazoea yaliozidi..unaweza ukawa na mkeo wiki nzima usifanye nae chochote ila ukitoka nje unatamani...hivyo hivyo ndo inampa mwanya mkeo wa kuchepuka kwakua hudeal nae
 
Mwenda tezi na OMO.

Kumekuwa na nyuzi nyingi za watu kulialia kuhusu kuliwa wake zao, wengine kwenda mbali zaidi kiasi cha kutoona umuhimu wa NDOA kwa yale wanayoyashuhuduia.

Ni ukweli ulio wazi kuwa wake zetu wengi beki hazikabi, na mara nyingi, kama sio zote wamekuwa wakibebeshwa lawama hata pale anayemla naye ni mume wa mwingine.

Tulitazame hili kwa jicho tofauti kidogo, wanawake ni watu wa hisia kali. Akili sio sana, hili sote tulishakubaliana.

Hivyo basi, mwanamme anayemwinda mke wa mtu, ndo mwenye maamuzi ya kufanikisha kumla au kuzembea. Hapa ni umahiri tu na mbinu, wala sio kwamba eti mwanamke atashinda pambano.

Wala MUME huna cha kufanya ili kuzuia MKEO asiliwe, hakuna namna zaidi zaidi ni kujifariji tu.

Mwanamke analaumiwa bure tu, ukweli ni kwamba HANA UWEZO wa kujilinda dhidi ya mashambulizi.

Itokee tu mwindaji hajampatia sawa sawa katika udhaifu wa hisia zake, hii haijalishi HADHI wala UMRI wa mwanamke huyo.

Kwa mtazamo wangu basi, kama hili suala ni chukizo basi wa kulaumiwa na kurekebika ni mwanamme mwindaji.

Wanaume, tuheshimu wake za watu. Inauma sana. Hii hofu inazidi kukolea kwenye ndoa nyingi, mavuno yake huko mbeleni hayafurahishi.

Ncha Kali.
duniani ni sehemu ngumu yahitaji akili pamoja na utashi kuweza kushinda vishawishi, kurubuniwa, shida na mateso kama binadamu yoyote yule sio tu mwanamke au mwanaume hawezi kuvishinda then lazima uishie kuumizwa . kuibiwa , kurubuniwa na ulimwengu na mambo yake
 
Alikuwapo kijana wa kuitwa Arafat Ngumi jiwe pamoja na msanii na boss wake Dully Sykes. Ila cha ajabu ndugu ngumi jiwe aliishilia kupasuliwa Mayai kunako

Mwache jamaa ajisifu maana kitakapoumana mwokozi atakuwa Mungu baba tu
hivi ngumi jiwe yupo?
 
Factor nyingine ukiachana na nambo yote wadau walio yasema ni kuchokaana na mazoea yaliozidi..unaweza ukawa na mkeo wiki nzima usifanye nae chochote ila ukitoka nje unatamani...hivyo hivyo ndo inampa mwanya mkeo wa kuchepuka kwakua hudeal nae
Hilo hawalitaki kulielewa kabisa, lawama ni kwa mwanamke eti haliziki haa haa wanawake wengi huwastahi tu kuwajibu nakuwanyamazia tu

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom