Wake wengi

pilau

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2012
Posts
1,595
Reaction score
450
Tuambiane ukweli wake wengi starehe yake.............. matatizo yake .................
 
So kwa maoni yako hakuna tofauti ya uzinzi na ndoa...

ndoa ni watu wawili, mwenye uke na mwenye uume...au labda nitumie lugha nyepesi ndoa ni muunganiko wa nafsi mbili tu, kukiwa na ndoa ya namna hiyo basi hakuna uzinzi zaidi ya hapo ni uzinzi ...period!
 
katika hilo ni kuendekeza uzinzi hebu pata picha unawake wanne kila mmoja anataka huduma yako mapumziko lini, hali ya kiuchumi, muongezeko wa familia una mashemeji, wakwe wangapi, wajomba pande zote za kikeni na kiumeni ukweli ni kwamba uke wenza ni maumivu
Unaweza kula chakula cha aina moja siku zote? Si kitakukinaisha!!!
 
ningekueleza kama ungeuliza starehe ya wanaume wengi.....


Wanawake wenye waume wengi ni tatizo kwao, iwapo wanaume wote wanawivu na kumbada kuwa leo lazima nataka lazima atachanganyikiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…