Wake kwa waume

Wake kwa waume

Nawatakia usiku mwema nyote.
Mungu awakinge na kuwalinda usiku huu mlalapo.
Nawaombea Mungu awaamshe salama kesho asubuhi na kila mmoja wenu aweze kutimiza Yale anayohitaji kuyatimiza hapo kesho.
Dah! Wakumbushe na kusali kabla ya kulala
 
Leo sisi ndiyo tunakutakia usiku mwema, goodnight to you, kwa niaba ya, jaman na wengine wote nawatakia usiku mwema
 
Back
Top Bottom