salaaamu!
Ni ombi. . . .wanaume kwa wanawake embu tumrudie Mwenyez Mungu huenda mapenz yetu katika uchumba na ndoa zetu zikapona.
Jaman,tupo pabaya kwakweli.upenz haudumu,uchumba haudumu,ndoa ndo eeee imekuwa fashion kuachana.Huenda kuna mahala tumekosa Muumba.Tumrudie bwana huenda True love ikarudi tena.Dah!
karibun.