Mkuu katika hali ya sasa ni ngumu sana
Utampendaji mtu ambaye humjui wala huna uhalisia wake yukoje na utatamani vipi kufanya sex na mtu ambaye hujawahi kumuona na hata kama umeonana nae kwa mara ya kwanza hayo mambo unafanya kwa mtu ambaye kweli unamuamini na una uhakika nae sio tuu kila ukiona kichaka unabanwa na haja mkuu
Hujui usafi wake hujui afya yake hakujui wewe na afya yako na usafi wako then mkubali mambo kama hayo tena katika hali ya sasa ni ngumu mkuu
Dah, mkuu kweli duniani kuna watu wa ajabu. Rafiki yangu kapendana na mtu kwenye simu tu na siku wameonana mwanaume kazama chumvini, aisee sijaelewa hii ni aina gani ya mwanaume na mwanamke!!
Duh, we noma, sasa vipi kuhusu mustakabali wa afya yako mana K inaweza kuwa safi lakini ina wadudu