Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,511
Utakua unajua wapo ndo maana haujamaliza na swali
Hawa wa 50/50
Hao mbona ndio tupo nao,ishu ya ugomvi wenu inausikaje na yeye kutotimiza majukumu yake sasa.
Wapo mkuu
Wapo mkuu..hiyo haina kusikiaWe uliskia wap?
Kuna mwanamuziki wa kitambo aliimba wimbo fukani. Sikumbuki ni nani. Wimbo una maneno haya:"...... akiambiwa aangukiwe, anatoza pesa nyingi....... "Wapo mkuu..hiyo haina kusikia
🤪🤪haya mkuu umetisha🥂🥂Kuna mwanamuziki wa kitambo aliimba wimbo fukani. Sikumbuki ni nani. Wimbo una maneno haya:"...... akiambiwa aangukiwe, anatoza pesa nyingi....... "
Hao ndio wengi.
Tupo😎