Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,285
- 39,490
"Unamkera wife, unaenda kazini asubuhi, unarudi jioni kakufulia nguo, viatu na mambo mengine mengi kayatimiza as a wife and still ukiomba "MZIGO" wa kuni nn the middle of the night anakupa bila hiyana. God bless the women."
