Wakazi Zanzibar walioathirika na mafuriko wanahitaji misaada ya hali na mali

Wazanzibari tutakufa na tai shingoni lakini hatutaomba msaada kutoka kwa Watanganyika.

Huyo aloweka tangazo hili si Mzanzibari kwani sisi hatujinasibishi na Utanzania.
 
znz.jpg

Poleni sana Zanzibara, ila kama namuona mshikaji anaenda kutoa maji ndani na beseni lake "Great Never Give up"
 
Huyo Arafat sio Mimi Wakuu naomba nichukue nafasi hii kubainisha hilo.
 
Back
Top Bottom