ubuntuX
JF-Expert Member
- Aug 18, 2014
- 1,970
- 2,184
ejaribu kufuatilia hili bifu kati ya msani wa Hip hop GodZilla kutokea sala sala dhidi ya msanii anayejiita wakazi
kiukweli nilichokibaini katika sakata hili ni kwamba huyu Wakazi anatafuta pa kutokea kwani jamaa ameimba kwa muda kidogo lakini hana jina wala mafanikio yoyote kutokana na muziki wake!
nimejaribu kufuatilua nione uwezo wake kimuzi, kiukweli jamaa anajikuza saaana na kwa Kingzilla ameparamia tu apate pa kutokea!
huyu jamaa hana hit song ambayo anaweza jivunia tangu aanze game, lakini anajikuta saana wakati hata akisimama na Harmorapa KO itamuhusu!
Godzilla ni bongo hip hop star, nimemfaham na kumskiliza kitambo kidogo na ngoma zake kali zoteee kama Kingzila, sala sala, Milele, kila wakati, illuminat, nataka, na yingine nyiiiiiiiingi tu
but kwa sasa ni Power tu ndio habari yao!
wakazi wacha maneno na dis za kijinga, jikite zaidi kwenye kazi ukuze mziki wako maana huku kitaani watu ndio wanaanza kuuliza ni nani huyu anamsumbua king zi, so hata kazi zako hazisikiki wala hazifahamiki!
hii kiki itaendelea kukuzamisha kama ulivyozamishwa na ile kiki uliyoitafuta kwa Nikki mbishi na ukapuuzwa