We ni polisi?acheni kufanya kazi kizamani kwa kubahatisha,nilitegemea mfumo mzima wa intelligence kwa kumkamata mtuhumiwa sasa nyie mnasomba vijana mtaani kama vipofu,
Kwa sasa nataka kusajili kampuni yangu ya private investigation ambayo itakuwa na watalaam waliobobea,naombeni hii itakuwa ni kampuni ya kuchunguza tu kama polisi watahitaji vielelezo nitakuwa na uwezo wa kuwapatia bila tatizo lolote.