tramadol
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 5,383
- 4,317
Pitapita yangu nimekutana na wakazi na vijana wa Temeke ambao wakutana na msako wa vijana wa Jeshi la Polisi ktk msako mkali sana wa kuhusu huyo jamaa ambaye inasemekana amefanya mauaji ya baadhi ya wananchi wasiokuwa na hatia.
Wananchi wanashukuru kwa msako huo maana umesaidia kutofanyika kwa mauaji tena ya wananchi wasiokuwa na hatia.
Baadhi ya vijana ambao wamekuwa wanakaa maeneo hatarishi wamekutana na hiyo dhahama baada ya kupelekwa vituoni kwa mahojiano zaidi.
Wito kwa vijana ni kuwa usipende kukaa maeneo ambayo ni hatarishi kwa maana ni rahisi kukamatwa na Polisi kwasababu kina maeneo ambayo wanawake wengi wamekuwa wakiporwa pochi zao na simu pia.
Wananchi wanashukuru Jeshi la Polisi kwa kazi nzuri inayoendelea kuhusu usalama wa raia na mali zao..