Aisee kaka naiopokea zawadi hiyo kwa mikono yote miwili....ngoja nitafute plot niweke na mjengo kule Kisongo
Kisongo noma, kuna population balaa nakupa pale Olkarien utapapenda kichizi.
Haina jala arrif. Uko Liborru au ngalelo? Sikurid kiaina. Afu Filipo ngoja nikupandie hewani.
atonga thiathia....? ethina mburi.......
Acha roho mbaya. Si umeambie mie niko almatejoo hapa karibu? Muambie tukutane kwa nick nna hamu na samaki wa foil hadi roho inapwita!
Habari wana Jf cc! Am a new member humu jamani ila ningependa kufahamu kama kuna wanaJf wanaoishi maeneo ya Same kilimanjaro au Arusha hasa maeneo ya Njiro nanenane maeneo ya kambini.
Mi nipo nanenane karibu na Ango!any specific reason to meet?Jf ni home pia,away from home,karibu pub la monie jioni tulambe supu.
Taja jinsia yako hapa
Acha roho mbaya. Si umeambie mie niko almatejoo hapa karibu? Muambie tukutane kwa nick nna hamu na samaki wa foil hadi roho inapwita!
Uncle salama.........?