Wakazi wa Ohio!

Wakazi wa Ohio!

Mkandara

Platinum Member
Joined
Mar 3, 2006
Posts
16,047
Reaction score
9,542
Ningependa sana kuelewa kama mwaka huu mtaandaa tena Bash kama la mwaka jana! (oldschool)..
Najua fika kwamba mwaka jana mlituangusha lakini bila shaka mwaka huu mtajiandaa vizuri zaidi...Pengine kuushirikisha Ubalozi wetu...
 
Uchumi Ohio mbaya. Itabidi uanze kuwasamehe mapema.
 
Back
Top Bottom