Wakazi wa Mkoa Mpya wa SONGWE Tukutane Hapa

srinavas

JF-Expert Member
Jun 5, 2011
4,023
3,583
Habari Zenu Wakuu

Kwa wale ambao mnaishi hapa Mkoa mpya wa SONGWE tunaweza kukutana hapa tukapeana Fursa Mbalimbali zinazopatikana katika mkoa huu.

Mkoa wa Songwe una fursa mbalimbali na of course mambo mengi kama ya Kibiashara , Kilimo , Uchawi, utalii, Uchimbaji dhahabu , Ufugaji na mambo mengine Mengi ambayo yanaweza Kumsaidia Mtanzania kujikwamua kiuchumi.

Karibuni Sana wadau kwa Michango mbalimbali. Mimi ndio nimehamia rasmi hapa baada ya Biashara kariakoo Kufungwa nadhani mnaelewa mambo ya kariakoo Kwa sasa.
 
Mimi nilikuwa naishi itenkamatako baadaye nikahamia udinde sasa hivi naishi hapa kimbolokotwe karibu
 
Uchawi!!?
 
Kam
Kama uchawi ni fursa nadhan wangekuwa wameroga ccm nchi nzima, but ileje kwetu nyungo/ iselo binge ya biashara
 
Mbona hujasema uvunaji mbao, madini kama Barium, Gypsum, Limestone, makaa ya mawe vinapatikana kwa wingi
 
Mada nzuri ila mleta mada umejiingiza kwenye upuuzi na kuharibu mada yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…