srinavas
JF-Expert Member
- Jun 5, 2011
- 4,023
- 3,582
Habari Zenu Wakuu
Kwa wale ambao mnaishi hapa Mkoa mpya wa SONGWE tunaweza kukutana hapa tukapeana Fursa Mbalimbali zinazopatikana katika mkoa huu.
Mkoa wa Songwe una fursa mbalimbali na of course mambo mengi kama ya Kibiashara , Kilimo , Uchawi, utalii, Uchimbaji dhahabu , Ufugaji na mambo mengine Mengi ambayo yanaweza Kumsaidia Mtanzania kujikwamua kiuchumi.
Karibuni Sana wadau kwa Michango mbalimbali. Mimi ndio nimehamia rasmi hapa baada ya Biashara kariakoo Kufungwa nadhani mnaelewa mambo ya kariakoo Kwa sasa.