Wakazi wa Kitunda Relini kata ya Kitunda Halmashauri ya Jiji la Dar es salaam, wamemshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ujenzi wa Shule mpya na ya kisasa yenye madarasa 14, maabara 4, maktaba 1, chumba maalum cha kompyuta (ICT) ,ofisi za walimu 12, pamoja na stoo kubwa 2
Shule hiyo ni mkombozi kwa wananchi wa Kitunda na kata jirani kwa kuwa itapunguza adha ya wanafunzi kusafiri umbali mrefu kufuata masomo
Shule hiyo inatarajiwa kukamilika mnamo mwezi Disemba 2025
Shule hiyo ni mkombozi kwa wananchi wa Kitunda na kata jirani kwa kuwa itapunguza adha ya wanafunzi kusafiri umbali mrefu kufuata masomo
Shule hiyo inatarajiwa kukamilika mnamo mwezi Disemba 2025