Wakazi wa Ilaka Kota katika nyumba za NHC wamefukuzwa kama mbwa na kupewa fidia ya shilingi laki tatu baada ya kuwa wapangaji katika nyumba hizo kwa zaidi ya miaka arobaini.
Nyumba hizo ambazo zilijengwa kwa ajili ya watu wa kipato cha chini sasa zimeamriwa zivunjwe kupisha maendeleo ya watu wastaarabu na kuwaacha masikini hao raia wa Tanzania wasijue la kufanya.
Wanajamii, wanaharakati na taasisi za kushughulikia haki za binadamu angalieni suala hili kuona kama haki inakiukwa basi ipatikane kwa hawa wananchi masikini ambao walipewa fulana na t-shirt lakini sasa wananyanganywa moja ya hitaji kuu la banadamu ambalo ni malazi.
Viongozi wao wa kisiasa wanatoka chama gani katika eneo hilo?

Wakoje hao??????????????????

Wapangaji ni wapangaji tuu, mwenye haki ni mwenye nyumba. Sheria yetu ya upangaji ndio sheria bora kuliko zote duniani. Mwenyenyumba akiitaka nyumba yake, kwanza anakupa notice ya miezi mitatu ukae bure, ikipita, anatakiwa akutafutie nyumba ya kodi kama unayolipa mpangaji na yenye hadhi sawa, ndipo akuhamishe. Akikuta nyumba yenye hadhi sawa lakini kodi iko juu, basi mwenyenyumba huyo lazima aitop up hiyo kodi kwa miezi mitatu!.
Wakazi hao wa Ilala ni wapangaji, nyumba sio zao, wamepewa notice ya miaka 8 wakikaa bure!. Wamepewa kodi ya pango ya nyumba za hadhi hiyo kwa miezi mitatu. Wamesaini mkataba wa hiyari wa kuhama, kwa ahadi kuwa wao ndio watapewa preference ya kwanza kuhamia kwenye nyumba mpya zitakazo jengwa hapo.
Kusema ukweli, msiwasikitikie kufukuzwa kama mbwa, kwa sababu mpaka kodi za makazi mapya wamelipiwa!. Kitu cha kuwasikitikia na kuwahurumia ni changa la macho walilosainishwa eti wao ndio watakuwa wapangaji wa mwanzo wa hizo nyumba mpya!. Kama wamekaa bure miaka 8 bila kulipa kodi, hiyo kodi ya pango jipya kila mtu kalipwa kodi ya laki kwa mwezi, hayo majengo mapya, kodi yake itakuwa ni milioni kwa mwezi, hata wakipewa wao hiyo preference, wataweza kulipa?.
Hilo ndilo changa lenyewe la macho, wamesainishwa kama wapangaji na wataendelea kuwa wapangaji only if kama wataweza kulipa. The good deal, walitakiwa wawe wabia katika mradi huo kwa mkataba wa kupatiwa nyumba moja moja kwenye hayo maghorofa mapya, jambo ambalo halikufanyika!.
Wakazi wa Ilaka Kota katika nyumba za NHC wamefukuzwa kama mbwa na kupewa fidia ya shilingi laki tatu baada ya kuwa wapangaji katika nyumba hizo kwa zaidi ya miaka arobaini.
Nyumba hizo ambazo zilijengwa kwa ajili ya watu wa kipato cha chini sasa zimeamriwa zivunjwe kupisha maendeleo ya watu wastaarabu na kuwaacha masikini hao raia wa Tanzania wasijue la kufanya.
Wanajamii, wanaharakati na taasisi za kushughulikia haki za binadamu angalieni suala hili kuona kama haki inakiukwa basi ipatikane kwa hawa wananchi masikini ambao walipewa fulana na t-shirt lakini sasa wananyanganywa moja ya hitaji kuu la banadamu ambalo ni malazi.
nafikiri kuna mchangiaji moja kaeleza hapo mtu akikaa kupita miaka kadha basi sheria ina mpa haki ya kwanza kununua nyumba hiyo ikiwa nyumba hiyo ina uzwa, pili uingereza wana sheria ambayo inawapa haki squaters kuingia na kuishi kwenye nyumba ambayo mwenyewe hayupo au ana nyumba nyingi na hiyo alio kupangisha ni ya ziada au za ziada, na pia ukiwa mpangaji wa muda mrefu, halafu ukawa una shindwa kulipa mahakama itaangalia haki zako , na pia ujerumani kuna mthungu moja ana nyumba kadhaa ambazo hapati kodi kwani squaters wamw vamia nyumba zake na kuwatoa ni issue, na ndio maana nhc kwa kuwatia ujinga wamejaribu kuwapa hiyo tshs laki tatu kupoza mambo, lakini ikiwa nhc wanataka kufanya haki, kwenye hizo nyumba mipya si watatoa nyingi, yaani maflat, ya chumba kimoja, viwili, vitatu nk nk hivyo kwa hesabu rahsi kwenye nyumba 100 watatoa 300 kwanini hizo 100 wasiwape wapangaji wa zamani na hizo mpya 200 wapangaji wapya?Wapangaji ni wapangaji tuu, mwenye haki ni mwenye nyumba. Sheria yetu ya upangaji ndio sheria bora kuliko zote duniani. Mwenyenyumba akiitaka nyumba yake, kwanza anakupa notice ya miezi mitatu ukae bure, ikipita, anatakiwa akutafutie nyumba ya kodi kama unayolipa mpangaji na yenye hadhi sawa, ndipo akuhamishe. Akikuta nyumba yenye hadhi sawa lakini kodi iko juu, basi mwenyenyumba huyo lazima aitop up hiyo kodi kwa miezi mitatu!.