Wananchi na wanachama wa CUF kutoka Bagamoyo wamefika nyumbani kwa prof Ibrahim Lipumba kumtaka arejee kwenye nafasi yake ya M/kiti wa chama cha CUF. Lipumba ametumia nafasi hiyo kuunga mkono mpango wa maendeleo wa serikali kwa miaka mitano.
Chanzo: ITV.
Chanzo: ITV.