IamMrLiverpool
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 4,830
- 7,374
Usisubiri kujulikana na watu,Acha dhambi zako ujulikane kwa Mungu.HILI NALO MKALITAZAME
Lengo ni nini kuwaimbia hivyo?Taratibu za kukaribisha wageni sio universal kwetu wakatoliki. Inatofaitiana kati ya kigango na kigango au parokia.
Kwa mfano parokia yetu kila mwisho wa mwezi baada ya zaka hua tunaimbia watu Happy birthday waliozaliwa mwezi uliopita. Je ambao parokia zao hawafanyi hivo walaumiwe??
Jiunge na jumuiya ndogondogo watakutambua,huko ulikoHabari Wakuu, Bwana asifiwe.... Mungu ni Mwema... Tumsifu yesu kristo, Shalom. Wiki iliyopita nilialikwa na jamaa yangu kwenda kuhudhuria ibada ya RC, Kwakuwa mimi huwa namualika kwenye Ibada zetu na anakuja hivyo ikabidi na mimi nimuunge mkono.
1) Kwakweli Ibada zenu zina utulivu wa hali ya juu. Hakuna movement zisizo za msingi wala milio ya simu hapo nina wapongeza.
2) Nilisikitika sana maana nimejiandaa vizuri kuja Ibadani lakini cha ajabu kanisani kwenu hakuna utaratibu wa kukaribisha wala kutambua wageni waliohudhuria siku hiyo. Makanisa mengine kama kwetu MZee wa kanisa anasimama anasoma majina ya wageni na walipotokea tena ikibidi wageni wanapewa Microphone wasalimie kanisa. Huu ni utaratibu mzuri kwa mgeni anajisikia yupo nyumbani.
Wakatoliki mgeni hawakutambui kabisaaaaa wala hawakutaji jina ili ukaribishwe. Kwa hili naomba mjifunze mboreshe hapa.
Niwatakie maandalizi mema ya Pasaka.
Kuanzia lini ibada ya kimizumu ikaboreshwa?Habari Wakuu, Bwana asifiwe.... Mungu ni Mwema... Tumsifu yesu kristo, Shalom. Wiki iliyopita nilialikwa na jamaa yangu kwenda kuhudhuria ibada ya RC, Kwakuwa mimi huwa namualika kwenye Ibada zetu na anakuja hivyo ikabidi na mimi nimuunge mkono.
1) Kwakweli Ibada zenu zina utulivu wa hali ya juu. Hakuna movement zisizo za msingi wala milio ya simu hapo nina wapongeza.
2) Nilisikitika sana maana nimejiandaa vizuri kuja Ibadani lakini cha ajabu kanisani kwenu hakuna utaratibu wa kukaribisha wala kutambua wageni waliohudhuria siku hiyo. Makanisa mengine kama kwetu MZee wa kanisa anasimama anasoma majina ya wageni na walipotokea tena ikibidi wageni wanapewa Microphone wasalimie kanisa. Huu ni utaratibu mzuri kwa mgeni anajisikia yupo nyumbani.
Wakatoliki mgeni hawakutambui kabisaaaaa wala hawakutaji jina ili ukaribishwe. Kwa hili naomba mjifunze mboreshe hapa.
Niwatakie maandalizi mema ya Pasaka.
Ningeshukuru kama ungeainisha hapa ibada ni ipi isiyokuwa ya kimizimu na wengine tujifunze.Kuanzia lini ibada ya kimizumu ikaboreshwa?
Taratibu za kukaribisha wageni sio universal kwetu wakatoliki. Inatofaitiana kati ya kigango na kigango au parokia.
Kwa mfano parokia yetu kila mwisho wa mwezi baada ya zaka hua tunaimbia watu Happy birthday waliozaliwa mwezi uliopita. Je ambao parokia zao hawafanyi hivo walaumiwe
Maandiko yanahimiza ukarimu ndugu mpendwaWalokole punguzeni ujuaji unataka utambulishwe we nani?
Sali maliza misa nenda kwako kale maharage