Wakati wa mvua ninawshwa mwili

rushanju

JF-Expert Member
Nov 3, 2011
3,130
4,620
Wana JF. Nimekuwa na matatizo ya ngozi hasa wakt wa baridi na hasa wakt huu wa mvua. Nukioga naweza nisilale kabisa usiku kucha. Nimejaribu dawa nyingi sana sipati nafuu. Naomba wanajamvi msaada plz mwenye kupata dawa anijuze plz
 
Je kuna Rashes (RED ) zinatokea ..?! kama kuna rushes then could be dermatitis .. zipo za aina MAYBE Air Dermatitis !!

KAMA NI MUWASHO TU! MAYBE YOU ARE ALLERGIC NENDA KWA WATAALAMU WA NGOZI ... KWA MSAADA ZAIDI
 
hakuna red rushes ispokuwa navimba uvimbe ambao ni unaisha muda mfupi baadae
 
Nami nakumbwa na mardhi kama hayo hasa nikioga maji baridi. Nashangaa kuona maji ambayo ni neutral liquid nayo yanaleta mzio. anikichemsha kuna afadhali kdg
 
Je kuna Rashes (RED ) zinatokea ..?! kama kuna rushes then could be dermatitis .. zipo za aina MAYBE Air Dermatitis !!

KAMA NI MUWASHO TU! MAYBE YOU ARE ALLERGIC NENDA KWA WATAALAMU WA NGOZI ... KWA MSAADA ZAIDI
mtu mweusi atakuwaje na rushes red? ameukujibu vizuri hapo chini uvimbe unakuja na kuondoka , vitabu vilitungwa na wazungu kwa ngozi zao ndoo maana kuna rushes red....! nshomile waitu
 
Wana JF. Nimekuwa na matatizo ya ngozi hasa wakt wa baridi na hasa wakt huu wa mvua. Nukioga naweza nisilale kabisa usiku kucha. Nimejaribu dawa nyingi sana sipati nafuu. Naomba wanajamvi msaada plz mwenye kupata dawa anijuze plz
angalia ngua unazovaa! nis safi? na ni material gani/ jaribu kuvaa nguo za cotton/ tumia dawa za anti-histamine kama vile Tavegyl (Clemastin)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom