Wakati wa kusema langu la rohoni

Dah Hata kama mtu kakosaje jamani kumuombea kifo si vizuri kwa kweli............

Dah duh aisee.......................
 
Dah Hata kama mtu kakosaje jamani kumuombea kifo si vizuri kwa kweli............

Dah duh aisee.......................

Wengi huwa wanaishi kinafki, eti "Marehemu hasemwi kwa ubaya", wewe unafikiri alivyofariki Ukiwaona Ditopile watu hawakufurahi? Sasa kama mtu akifa unafurahi kwanini usimwombee kufa?
 
Back
Top Bottom